Mwenye ujuzi wa kuhariri taarifa za uzoefu wa kazi kwenye jukwaa la ajira naomba msaada

Van Gadner

Member
Jun 18, 2015
5
1
Habari wana jamvi, naomba msaada nashindwa kuhariri taarifa zangu upande wa working experience kwenye platform ya ajira potal.
 
Hamna kile kitufe cha edit ndo apo ttzo lilipo mkuu
Tumia browser kama Chrome au Firefox Kisha weka Desktop Mode.

Ukishaingia Account yako utaenda hiyo Sehemu ya Working Experience kisha uta Tap Hapo Add New Mkuu Kisha utaendelea na mishe nyingine.
IMG_20190806_205514.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom