Dnmunisi
Member
- Nov 11, 2020
- 18
- 16
Poleni na majukumu wakuu
Mimi nina na changamoto inanitatiza sana, ninasomea maswala ya information science, natamani sana kujua kuhusu database administration, ila pa kuanzia sijui na sijui ninatakiwa nisome nini na nini ili niweze kuwa database administrator
Mwenye ujuzi tafadhali anisaidie