Mwenye ujuzi na computer hii Asus Chrome OS tafadhali

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,596
Reaction score
1,865
Kuna anaejua ku unlock hii pc na ku install Windows. Imekuwa locked na pia inatumia chrome os.
 
Reactions: Lee
Itapendeza zaidi ukiandika vizuri shida uliyonayo ili wajuzi wakusaidie
 
bila kutaja model ni ngumu kusaidiwa, taja full model ya laptop.

zipo chromebook za arm, za x86, zinazokubali android etc.
 
Itapendeza zaidi ukiandika vizuri shida uliyonayo ili wajuzi wakusaidie
Shida yake Kwanza imekuwa locked na hii program, check picha, nataka ku unlock na ku install Windows
 
Ni ASUS C300 NOTEBOOK PC 64(sol-9)
-na assume ni asus c300 sababu hakuna chromebook ambayo ni notebook halafu ni pc. ukishasema notebook au pc ni kifaa cha windows.

-hii chromebook inakubali android apps, hivyo ni vyema utumie hizo apps za android.

kutoa hio error fuata tutorial hii
Wipe device data - Chrome for business and education Help

kama ameblock developer mode kuna njia ila ngumu zaidi, hii hapa
SOLVED: How can I reset a managed chrome book back to factory - Samsung Chromebook Series 3
 
Asante Chief ngoja ni jaribu na njia ya pili nitaleta mrejesho. Shukrani
 
Chief hapa nime kwema, kulingana na maelezo na picha naona kama hazifanani
 
Chief hapa nime kwema, kulingana na maelezo na picha naona kama hazifanani
kwa asus c300 ipo hapa

hapa ina screw

hapa haina screw

nikiangalia picha yako naona ni hapo kushoto katikati juu ya cardreader. na umeshaitoa
 
Chief-Mkwawa
Mkuu , tafadhaliunaweza kujua wapi nitapata link ya kutengeneza chromeOS USB installer?
Sababu naona google wame disable kupata kwenye windows devices
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…