Mwenye ujuzi juu ya haya

Mwenye ujuzi juu ya haya

prakatatumba

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
1,328
Reaction score
192
1. nikifungua task manager inaniambia has been disabled by ur administrator wakati kabla ilikuwa haisemi hivi
2. jinsi ya kuondoa start up tone i.e ukiwa unawasha au kuzima computer kuna sauti huwa inatoka sasa nataka kuindoa lakini cjui,

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Mkuu ungetuambia OS ya computer yako kwanza.
 
1. nikifungua task manager inaniambia has been disabled by ur administrator wakati kabla ilikuwa haisemi hivi
2. jinsi ya kuondoa start up tone i.e ukiwa unawasha au kuzima computer kuna sauti huwa inatoka sasa nataka kuindoa lakini cjui,

NATANGULIZA SHUKRANI

nahisi ni virus wameingia katika system files.Weka antivirus na scan drive c:
 
Hiyo number moja (1) ni kwa sababu computer yako haina antivirus, au ipo outdated au antivirus haina uwezo wa kuondoa baadhi ya virus kwa pc yako
 
Natumia XP 2002 pack3,ant-virus avast kila sku naupdate
 
Leo nimeenda kwenye ATM kuangalia kama dinari zimeingia, nikakuwa ATM inaonyesha desktopo ya window XP na icons zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom