canular
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,071
- 1,279
Habari za mida wana JF,
Wakuu kama kuna mtu mwenye uhitaji wa site ya kufanyia kazi ya kuzia chips ama chakula kiujumla site ipo maeneo ya Kunduchi imetazamana na chuo cha jeshi kuna pub tayari jiko la kitimoto limesha pata mteja bado jiko moja ambalo kama ukiweza waweza kuuza chips, vyakula mbalimbali supu ya mbuzi pia.
karibuni mwenye uhitaji wa site njoo pm kwa mawasiliano zaidi