Wakenya hao! Ngoja waje! Skia fanya utafiti wa soko la dagaa wa mwanza kwa manunuzi ya jumla tufanye kazi, achana na ajira utakufa maskini sana! Waambie ni dagaa waliokaushwa kwenye vichanja yaani hawana mchanga. Wakupe bei ya jumla kwa kilo na uwezo wao wa kununua dagaa kwa mwezi! Anza sasa!