Mwenye ufahamu kuhusu Toyota Voltz

Mwenye ufahamu kuhusu Toyota Voltz

Muhindila

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
46
Reaction score
30
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nataka kufahamu ubora wake, ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare zake. Pia ili nipate iliyo bora niandae budget ya shilingi ngapi?

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom