Lotiro Mlembea
Member
- Sep 22, 2010
- 79
- 7
hao jamaa mishahara yao ni minono mno
Mshahara ni siri ya mwajiriwa na mwajiriwa..nenda kuafanye Interview mkuu..!!
Kwa bahati nzuri hapa NDC tunataka wafanyakazi maadamu umejidhihirisha kuwa ni Mr.Mshahara kwanza nitahakikisha hatukuchukui ili hii nafasi waishindanie wenye nia ya kufanya kazi kazi kwa mshahara. Wewe ni mjinga sana badala ya kuuliza kuna kazi gani za msingi zinazofanywa na shirika la maendeleo la taifa wewe unaaza na maslahi kwanza!!!Hopeless go to Indians a lttle tanzanianNi kweli Mkuu mshahara ni siri, ila kwa sekta ya umma mara nyingi huwa inafahamika mishahara pamoja na marupurupu. Kwa sekta binafsi ndo majadiliano(bargaining).
Kwa bahati nzuri hapa NDC tunataka wafanyakazi maadamu umejidhihirisha kuwa ni Mr.Mshahara kwanza nitahakikisha hatukuchukui ili hii nafasi waishindanie wenye nia ya kufanya kazi kazi kwa mshahara. Wewe ni mjinga sana badala ya kuuliza kuna kazi gani za msingi zinazofanywa na shirika la maendeleo la taifa wewe unaaza na maslahi kwanza!!!Hopeless go to Indians a lttle tanzanian
leave allowance, house allowance,transport allowance, medical treatment, telephone na mengeneyo mengi kama umepata kazi huko hongera .kapige kazi na uwe na nidhamu kwenye matumizi ya fedha. utakuwa umeshaukata.Nashukuru kwa taarifa, kwa upande wa marupurupu wanatoa nini na nini? Asante.
Sio mimi mkuu, kuna dogo kamaliza SUA amefanya usaili, ndo alikuwa anaulizia.leave allowance, house allowance,transport allowance, medical treatment, telephone na mengeneyo mengi kama umepata kazi huko hongera .kapige kazi na uwe na nidhamu kwenye matumizi ya fedha. utakuwa umeshaukata.