Mwenye uelewa na Meteorology

Mwenye uelewa na Meteorology

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Diploma in Meteorology au Bachelor in Meteorology, kuhusu upatikanaji wa ajira na soko lake kwa ujumla.

Pia ningependa kujua na ngazi za mishahara kwa wahitimu wa kozi hizo.
 
Kama ni ajira ata usiwe na shaka maana waliomaliza almost wote wapo makazini na bado wanahitajika na kinatolewa na chuo kimoja tu nadhani mpaka sasa yaan CBE MAIN CAMPUS so kama unasomea ajira nenda kasome ila ukimaliza ukakuta soko lishajaa usije ukalalamika
 
Nenda CBE Posta ndio wanatoa hyo course inahitaji uwe na ufaulu wa math..
Ajira zke zipo zinapatikana sana tofauti na course nyingine.
 
Acheni kumpa moyo bhana Mara etii ajira zipo vzuri Mara etiii ipo cbe main campus
 
Hyo ni ukweli metrology ina ajira but uwe umefaulu math na physics coz utashndna na wanafunz wengi wanaotoka DIT so lazima uwe na ufaulu mzuri! Ila kumbuka hizi ni course za msimu ukimaliza soko ikiwa ishajaa usije ukapga kelele
 
Iyo kozi ipo chuo gani? Kozi nzuri lazima uajiriwe kama sio mamlaka ya hali ya hewa, au kwenye viwanja vya ndege, au uwe lecture
 
Mnachanganya nyie kat ya meteorology na metrology
 
Industrial and Legal Metrology ipo CBE DSM pekee ila meteorology ipo mpka udsm kama cjakosea na UDOM so kama uliimaanisha hyo ya CBE soko lake bado ipo
 
Jamani msichanganye UDOM ipo METALLURGY

study of metals: the study of the structure and properties of metals, their extraction from the ground, and the procedures for refining, alloying, and making things from them
 
METROLOGY
study of measurement: the scientific study of units of measurement
METEOROLOGY
weather science: the scientific study of the Earth's atmosphere, especially its patterns of climate and weather
 
Nataka kusoma postgraduate ya Metrology pale CBE,hivi baada ya kumaliza postgraduate ya hiyo course,naweza kuwa regarded sawa sawa na mtu aliyefanya bachelor?kwa kuwa tayari Nina bachelor ni kipi bora kufanya postgraduate au nianze bachelor upya tu!!!?
 
Kama ni ajira ata usiwe na shaka maana waliomaliza almost wote wapo makazini na bado wanahitajika na kinatolewa na chuo kimoja tu nadhani mpaka sasa yaan CBE MAIN CAMPUS so kama unasomea ajira nenda kasome ila ukimaliza ukakuta soko lishajaa usije ukalalamika
Acha kudanganya hata UDSM ipo
 
Usichanganye meteorology na industrial and legal metrology kama unabisha ingia kwenye website ya Udsm soma prospectus ya mwaka huu au soma TCU guide book 2015/2016 so sipend tubishane wakat ushahid upo!
 
Ya wdmi wanaiita dip in hydrology and meteorology bt ya kigoma inaitwa dip meteorology so cjui ipi yenye dili zain
 
Jaman indusrila metrology ni vipimo na weng wao wanaajiriwa na wizara ya viwanda au TANROADS msichanganye na meteorology ambayo ni watu wa Hali ya Hewa!
 
Back
Top Bottom