kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,241
- 1,749
Ndugu zangu,rafiki yangu alinishauri kujiunga na hii saccos ili nipate mkopo. Leo hii naelekea mwezi mzima tangu niweke akiba sijapata mkopo. Nimepiga simu nyingi sana kwa meneja katika tawi langu imefikia hatua hapokei simu wakati awali alikuwa ananiambia kuna tatizo wanalifanyia kazi makao makuu Dar es salaam