Mshubi wa Rulenge
Member
- Jan 8, 2015
- 23
- 8
Habari za J,pili wapendwa! Nina mtaji wa Mil 3 kwa eneo ninaloishi nahisi biashara yakuuza soda za jumla inaweza kunilipa. Naomba mwenye uelewa wa hii biashara anijuze masharti yake pia kianzio kama mtaji ni kiasi gani. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu!