Mwenye uelewa ktk hili please help.

Mwenye uelewa ktk hili please help.

Elerai

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
474
Reaction score
139
Habar za leo ndug zangu ? Nimepata tatizo kwenye laptop yang n leo asubuh nlipowash na kuanz kuangalia majukum yangu nkaiona imechafuka sana hapo iko on, then nkachukua kitambaa na kuanz kufuta screen and keyboard, baada ya kufuta nkaona imestack cursor haisogei mpk saivi nimezma nimewasha iko palepale . Naomba mwenye uelewa mana nimekwama
 
cursor yako unaendesha kwa mouse au kwa touch pad (sijui ndio inaitwa hivi?)
Angalia kama ni touch pad kuna sehem ukigusa mara mbili ina-block cursor...
It is normally in one of the upper corner.
 
Asante mwali umenisaidia kwa mawazo ngoja nijaribu huenda itaunblock mana n through touchpad
 
Kuna mambo mengine angalieni jamani laptop ukifuta vumbi ikistack basi ushakimbilia jamii forum aaaah! Hapa lete habari za magreat thinkers na sio kustack kwa laptop.Basi kama ni hivyo hata mi ntasema jana mke wangu nimemshindwa nimempiga kimoko jamani anayejua kwa nini aje anisaidie.JAMANI tuweke thread za kigreat thinker nasio laptop kustack.
 
Back
Top Bottom