Mwenye tetesi Mchakato TRA

Mwenye tetesi Mchakato TRA

Huwa mda c mrefu mpaka lini sasa watu wanataka mambo fasta fasta wajue kingine cha kufanya, sasa mambo ya kuwekana pending sio michongo bhana watoe sisi tunataka tujue our direction...!!
 
Interview yenyewe ilikuwa ngumu, namshukuru Mungu nimetwa oral baada ya aptitude
 
duuh ss wats true wameashaitwa au bdo kila mtu na lake
 
Zidi kumuomba Mungu,yeye ndiye akisema kazi ni yako hata aje mtu gan hakuna anayeweza badilisha,endelea kuomba usikate tamaa,
 
Naomba mmeanza kuleta michezo ya bata humu cku izi na kulifanya jukwaa liwe si sehemu ya kupata updates tena..! mbona mnaleta utani kwenye mambo ya msingi mmekosa kazi ya kufanya....., kuweni serious bhana!!
 
Back
Top Bottom