Billy philip
Member
- Oct 24, 2019
- 15
- 8
Wadau tujuzane juu ya hawa Loan Board kuhusu wale appellant. Maana hatujui kama kuna batch nyingine tena au kama haipo. Maana watu bado tupo njiapanda.
eh hipo ya rufaa mwezi wa kwanzaWadau tujuzane juu ya hawa Loan Board kuhusu wale appellant. Maana hatujui kama kuna batch nyingine tena au kama haipo. Maana watu bado tupo njiapanda.
mimi niliambiwa kuwa alhamic ndo wakurugenzi walishafanya ayoh machaguzi washachagua watoto wa ndugu zao sisi tusiokuwa na conection anajua munguMkuu hawa watu hawaeleweki.Nimeenda ofisini kwao wanasema rufaa ndio zinafanyiwa kazi zikikamilika watatoa matokeo.Ila ukiwauliza matokeo wanatoa lini hata wenyewe hawajui ni siku gani but wanachijibu ni kuwa wakimaliza watatoa
kweli ndugu wametuua kinyama yaniDaaah huu mwaka wa shetani.hasa kwa continuos ambao wengi hatukufanya appeal ishakula kwetu hii looooh
Hakuna haja ya continuing student ku appeal as long as uliomba mkopo mwaka huu toa shakaDaaah huu mwaka wa shetani.hasa kwa continuos ambao wengi hatukufanya appeal ishakula kwetu hii looooh