N Ngarenaro JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 308 Reaction score 45 Jun 4, 2012 #1 Kuna taarifa nmeckia kuhusu mwanamuziki huyu kutoka Nigeria but not confirmed, ni kweli amefariki?
Davie S.M JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 748 Reaction score 229 Jun 4, 2012 #2 Na we nawe unajisikia Ku-post ama Niajee ?..kama umeweza ingia humu umeshindwaje ingia Google ukapata Habari unazotaka. Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
Na we nawe unajisikia Ku-post ama Niajee ?..kama umeweza ingia humu umeshindwaje ingia Google ukapata Habari unazotaka. Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
D Doreen22 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 470 Reaction score 81 Jun 4, 2012 #3 Hivi huyo ndiye aliyekana ule ujauzito wa Genevive, hata kama ana songs nzuri, sijui cash pia, afe tu, alimdhalilisha sana Dada wa watu Ngarenaro said: Kuna taarifa nmeckia kuhusu mwanamuziki huyu kutoka Nigeria but not confirmed, ni kweli amefariki? Click to expand...
Hivi huyo ndiye aliyekana ule ujauzito wa Genevive, hata kama ana songs nzuri, sijui cash pia, afe tu, alimdhalilisha sana Dada wa watu Ngarenaro said: Kuna taarifa nmeckia kuhusu mwanamuziki huyu kutoka Nigeria but not confirmed, ni kweli amefariki? Click to expand...
D Doreen22 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 470 Reaction score 81 Jun 4, 2012 #4 Kweli nimeona google, amepigwa risasi nchini Marekani na unknown person, bado nitaifuatilia vizuri later ili nielewe why
Kweli nimeona google, amepigwa risasi nchini Marekani na unknown person, bado nitaifuatilia vizuri later ili nielewe why
D Doreen22 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 470 Reaction score 81 Jun 4, 2012 #5 Good, amekataa, ameibuka some minutes ago na kusema yuko ok, na hizo rumours ni nonsense, teh, teh, teh
Good, amekataa, ameibuka some minutes ago na kusema yuko ok, na hizo rumours ni nonsense, teh, teh, teh
denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,953 Jun 4, 2012 #6 Doreen22 said: Good, amekataa, ameibuka some minutes ago na kusema yuko ok, na hizo rumours ni nonsense, teh, teh, teh Click to expand... upo upande upi sasa!? Maana mwanzoni umesema "ngoja afe", sasa hv unadokeza kwa kidhungu zaidi "Good" kwamba yupo hai. Au ndo'nyie akina "kote kote"
Doreen22 said: Good, amekataa, ameibuka some minutes ago na kusema yuko ok, na hizo rumours ni nonsense, teh, teh, teh Click to expand... upo upande upi sasa!? Maana mwanzoni umesema "ngoja afe", sasa hv unadokeza kwa kidhungu zaidi "Good" kwamba yupo hai. Au ndo'nyie akina "kote kote"
D Doreen22 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 470 Reaction score 81 Jun 4, 2012 #7 Wacha nimhurumie tu , maana alivyonikeraga!, ni good sana kwa wale mashabiki wake wa sana sio Mimi
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,371 Jun 4, 2012 #8 Guys hiyo taarifa siyo ya kweli,hiyo taarifa ilikuwa ya april 1 siku ya wajinga,na siyo habari mpya
N Ngarenaro JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 308 Reaction score 45 Jun 4, 2012 Thread starter #9 Davie S.M said: Na we nawe unajisikia Ku-post ama Niajee ?..kama umeweza ingia humu umeshindwaje ingia Google ukapata Habari unazotaka. Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums Click to expand... Kaka mbona umekuja na moto sana, ona wenzako hapo juu walivyochangia kwa ustaarabu, by the way, it wasn't necessary that you should have to comment, cause you added nothing tangible. Live long D'Banj
Davie S.M said: Na we nawe unajisikia Ku-post ama Niajee ?..kama umeweza ingia humu umeshindwaje ingia Google ukapata Habari unazotaka. Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums Click to expand... Kaka mbona umekuja na moto sana, ona wenzako hapo juu walivyochangia kwa ustaarabu, by the way, it wasn't necessary that you should have to comment, cause you added nothing tangible. Live long D'Banj