Ndugu zangu tuliofanya usaili wa mtihani wa kuandika nafasi ya Sumatra Consumer Education Officer nauliza kama kuna ambaye ana taarifa za kuitwa hatua inayofuata.