T Tonge kubwa New Member Apr 28, 2016 3 0 May 11, 2016 #1 Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze.
kanuga JF-Expert Member Apr 13, 2014 743 1,304 May 11, 2016 #2 Ushashiba tonge kubwa ... Mbona wakati unaitwa interview ulipata habari..." kwa lugha nyepesi ushachekechwa na chujuio la matundu makubwa
Ushashiba tonge kubwa ... Mbona wakati unaitwa interview ulipata habari..." kwa lugha nyepesi ushachekechwa na chujuio la matundu makubwa
Snowpiercer JF-Expert Member Sep 15, 2014 2,343 4,192 May 12, 2016 #4 Mkuu Watu walishakalia office mpaka wamezoea we bado unasubiri kuitwa tu. Keep on waiting, be patient kuitwa is loading...........
Mkuu Watu walishakalia office mpaka wamezoea we bado unasubiri kuitwa tu. Keep on waiting, be patient kuitwa is loading...........
M markj JF-Expert Member Jul 6, 2012 1,778 685 May 13, 2016 #6 mnadanganyana! pambaneni vijana TRA sio peponi
M Malima01 Member Jun 20, 2013 50 17 May 13, 2016 #7 Tonge kubwa said: Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze. Click to expand... Training inaanza Jumatatu (16/May /2016)
Tonge kubwa said: Wadau mwenye taarifa na TRA kuita watu kazini wanijuze. Click to expand... Training inaanza Jumatatu (16/May /2016)