S shamukwetu Member Joined Mar 21, 2014 Posts 10 Reaction score 0 Mar 23, 2014 #1 Kumekuwa na tarifa zisizo kamili muda mrefu kuhusu hawa quality service mara matapeli mara kweli, hatuelewi so mwenye tarifa sahihi na kwa utafiti atujulishe jaman eeeeeh!
Kumekuwa na tarifa zisizo kamili muda mrefu kuhusu hawa quality service mara matapeli mara kweli, hatuelewi so mwenye tarifa sahihi na kwa utafiti atujulishe jaman eeeeeh!
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 13,098 Reaction score 12,112 Mar 23, 2014 #2 ni bora ukawasiliana na hao quality service au MCB hapa utaendelea kupata majibu hayohayo yasiyokamili
ni bora ukawasiliana na hao quality service au MCB hapa utaendelea kupata majibu hayohayo yasiyokamili