Mwenye shuhuda za kupona Nguvu za Kiume kwa food supplements

Steph JK

Senior Member
Sep 14, 2018
103
106
Kumekuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kwa kuwa uchumi umeyumba na ili kulindana wengi tulipie bila tija na kwa kuwa wapo ambao wameshazitumia. Mapendekezo, watupe uzoefu wao kwenye tiba hizo sina lengo la kuua biashara hizo ila kusikia kutoka kwa watumiaji kuliko kwa muuzaji ambaye ni mfanyabiashara.

Tupeane uzoefu wazee

Screenshot_20210502-204339.jpg
 
Kume kuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca, na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kea kuwa uchumi umeyumba na ili kulindana wengi tulipie bila tija na kwa kuwa wapo ambao wamesha zitumie. Mapendekezo watupe uzoefu wao kwenye tiba hizo sina lengo la kuua biashara hizo ila kusikia kutoka kwa watumiaji kuliko kea muuzaji ambaye ni mfanyabiashara.

Tupeane uzoefu wazeeView attachment 1771522

Wewe unataka ushuhuda gani??-- Kwani humuoni huyo demu hapo kwenye picha kafurahi, kwani wewe unahisi kafurahishwa na nini??!!😜
 
Kume kuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca, na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kea kuwa uchumi umeyumba na ili kulindana wengi tulipie bila tija na kwa kuwa wapo ambao wamesha zitumie. Mapendekezo watupe uzoefu wao kwenye tiba hizo sina lengo la kuua biashara hizo ila kusikia kutoka kwa watumiaji kuliko kea muuzaji ambaye ni mfanyabiashara.

Tupeane uzoefu wazeeView attachment 1771522
Mkuu Hizo food supplements haziwezi kutibu tatizo la nguvu ya kiume. Samahani nisikuharibie biashara yako lakini ukweli ndio huo. Kwani dawa yoyote iliyotengenezwa katika Viwanda vya madawa haiwezi kutibu tatizo la nguvu ya kiume. Dawa zinazotibu Nguvu ya kiume ni dawa za asili ambazo hazija changanywa na kitu chochote kile, ni dawa za mitishamba za unga ndio suluhisho la kutibu nguvu za kiume. Sio hizo food supplements haiwezi kutibu Nguvu ya Kiume.
 
Kume kuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca, na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kea kuwa uchumi umeyumba na ili kulindana wengi tulipie bila tija na kwa kuwa wapo ambao wamesha zitumie. Mapendekezo watupe uzoefu wao kwenye tiba hizo sina lengo la kuua biashara hizo ila kusikia kutoka kwa watumiaji kuliko kea muuzaji ambaye ni mfanyabiashara.

Tupeane uzoefu wazeeView attachment 1771522
Zinaongeza na kupunguza nguvu za kiume.
Lakini hazisaidii kabisa zinakuacha kama ulivyo.
 
Mara nyingi dawa ni boost tu kukupa confidence(kwa wenye age chini ya 40), ikiwa unatumia dawa na hujapata confidence basi uwezekano mkubwa ni kuwa dawa haitafanya kazi. So cha kwanza ukipewa dawa lazima upewe somo ndio uendelee kutumia dawa, ukiona unauziwa dawa kama njugu ujue hapo utarudi square 1 na huenda hali yako itakuwa mbaya kuliko ile ya kwanza. Kama unashida ya ukweli kindly DM.
 
nguvu za kiume imekuwa ni fursa. ukiweza kutengeneza li rojo lolote (hata matope) ukasema inaongeza nguvu za kiume au inafanya maku mnato utapata wateja sana
 
Jamani tujitahidini kula vitu natural mkuu hakikisha matunda unakula na karanga zisikose narudia karanga zisikose..
 
Jamani tujitahidini kula vitu natural mkuu hakikisha matunda unakula na karanga zisikose narudia karanga zisikose..

Mkuu naweza kuw nishafikisha gunia la karanga kwa matumizi, lakini hakuna majibu yoyote zilizotoa
 
Tatizo linatibika kwa lishe bora, kupumzika kabla ya tendo, afya ya akili ( kupunguza mawazo), mazoezi maalumu na MITISHAMBA.
Ikiwa tatizo linatokana na kuathiriwa kwa postate gland basi mitishamba au matibabu ya hospitali yanaweza kutumika.
Hivyo dawa ulizo zisema ni biashara za watu.

Ukihitaji matibabu zaidi ni email.
 
Chai yangu Mimi huwa Ina mixture ya mdalasini,karafuu,iliki na tangawizi mbichi nasaga kwa Brenda

Nakula Sana ugali mboga mboga,dagaa na nyama na maharage Mara moja moja .

Maji kwa Sana ,ndizi mbivu,na matunda mengineyo.

Nikiwa Sina kazi mi nauchapa usingizi tu kwa Sana

Gambe nakunywa Mara moja moja saaaana ya kuwe na matukio au shamrasharma yaani sio mlevi Wala mnywaji labda muonjaji

Karanga ,peanut butter na Nazi kwenye kuuunga natumia sana .

Shughuli anayopata Shem wenu Kuna siku akipata kiu Cha ghafla katikati ya gemu akaomba mma!

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom