Mwenye Rav 4, Model 1999 inahitajika

Mwenye Rav 4, Model 1999 inahitajika

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,848
Reaction score
132,105
Iwe na engen 3s
# iwe b, gari isiwe na tatizo yoyote
Kuanzia engen mpaka body.
Offer ya kununua ni 8.5mln
Mwenye nayo tuwasiliane niko dar,kama mtu anayo tuchekiane ni pm ntakupa # yangu
 
Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms.
 
Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms.

9 hadi 8.5mln inapatikana...Watu kuuza magari ni moja ya shughuli yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom