Mwenye pesa mnyenyekee sio mwenzio..

Mwenye pesa mnyenyekee sio mwenzio..

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Eti ukikanyagwa mguuni na kapuku mwenzio unafoka na kutokwa povu hadi unataka kupigana kisa tu wote hali zenu zinafanana.

Ila sasa ikitokea kakukanyaga mwenye pesa au boss wako "utasikia samahani boss mguu wako uko juu ya mguu wangu" huku ukionyesha unyenyekevu wa hali ya juu.

Aisee mwenye pesa kweli sio mwenzio...
 
Pesa ndio mwanadamu. Pasi na pesa hata mwenye hekima huonekana mjinga
 
nikanyage kisa una pesa uone...!!!!!

we all humans beside our differences in economic status
 
Back
Top Bottom