Mwenye Nyumba anashindwa kusimama, Nifanyeje?

Mwenye Nyumba anashindwa kusimama, Nifanyeje?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,471
Habari ,

Naitwa Tulya nipo jijini mwanza.

Nasumbuliwa na tatizo la mwenye Nyumba kusinyaa na kushindwa kutimiza haja ya mke Wangu.

Nina miaka miwili sasa nateseka na tatizo chili ambalo Hakika linanikosesha raha.

JIBU: pole sana, hali hiyo si yako peke yako, bali inawasumbua wanaume wengi bila kujali umri na hili hutokana na ulaji wa vyakula vyenye mafuta ambayo siwezi kuyataja kutokana na suala la kibiashara.

Mafuta hayo husababisha mishipa ya mwenye nyumba kuziba na kusababisha damu nyingi isiende sehemu husika. Kusimama imara kunategemea wingi wa damu inayoenda uko kwa mwenye nyumba na kama mishipa imeziba, uwezekano wa kusimama unakuwa mdogo.

Dawa ya tatizo hili ni kuacha kula vyakula vyenye mafuta na kufanya mazoezi maalumu ya kushtua mishipa ama misuli ifanye kazi ipasavyo.
 
Janga la kitaifa hili liundiwe tume....
 
Maswala ya kisaikolojia hayo, jiamini
 
mastabation, vyakula vibovu, mawazo na stress pmoja na matatizo natural ya kiafya husababisha dushelele li-stuck kufanya kazi!

solution

fanya mazoezi ya viungo, acha nyeto, punguza/acha kuangalia picha za ngono, acha chipsi na vyakula vyenye nature ya mafuta, kula parachichi.. nk

pia, search google nyuzi mbali mbali ambazo zimeshazungumziwa hapa kuhusu nyeto.. hakika utarudi kwenye hali yako ya zamani!

NB.. ukipona, usirudi mzigoni tena!!
 
Amini unaweza then utaweza kama unavyoamini nguvu ukinywa supu ya pweza
 
Ingia road kimbiza upepo kwa speed kubwa,kila siku asubuhi na jion,punguza vyakula vya mafuta,ndani mwezi utaona tofauti.....utatupia mabao kama rooney.
 
Una umri gan,weight yako then unafanya kaz gaz!vyakula unavypndelea kula sana ?nijibu tujue jinsi ya kukusaidia hapahapa jf
 
Threads of the day: Wednesday 05.02.2014
uume kushindwa kusimama vizuri
wanawake bikra
 
Hilo ni tatizo kubwa sana, miaka 2 ujue waifu anaweza iba ruti
 
Back
Top Bottom