mchollo 2 New Member Joined May 26, 2015 Posts 3 Reaction score 0 Jun 3, 2015 #1 Jamani naomba mwenye nyimbo za segere orginal zile za kwanza kwanza kama Shabani, Madobe na zinginezo anitumie, naomba sana jamani.
Jamani naomba mwenye nyimbo za segere orginal zile za kwanza kwanza kama Shabani, Madobe na zinginezo anitumie, naomba sana jamani.
akida japanees Member Joined Jan 21, 2015 Posts 69 Reaction score 31 Jun 3, 2015 #2 Mimi nahitaji wimbo wa ali star # natanga na njia! Juwata$ kimanzichana Franco # fabrice Morogoro yetu yapendeza# moro jazz!! Nyama ya bata# babloom Gari kubwa mchiriku.
Mimi nahitaji wimbo wa ali star # natanga na njia! Juwata$ kimanzichana Franco # fabrice Morogoro yetu yapendeza# moro jazz!! Nyama ya bata# babloom Gari kubwa mchiriku.