mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha imeishafika tanzania tatizo haijanifikia wiki sasa kwa hiyo nataka niwasiliane nao.Nitashukuru sana nikipata mawasiliano yao