Mr.biggie
New Member
- Nov 1, 2013
- 2
- 0
Habari ndugu zangu wapendwa,nadhan wote ni wazima wa afya.Ila kwa wale mliokuwa wagonywa,poleni mungu atawaponya.Kuna binti mmoja alikuwa anajulikana kwa jina la Joyce Mushi,ila kwa sasa ni marehemu hatupo nae tena.Huyo msichana aliishi sana jiji la Mwanza,na alibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume Kwa jina anaitwa Robert.Hivyo bas ningependa kusema kwa yeyote yule aliemjua huyo msichana,naomba anitafute kupitia namba yangu 0784151565