vidudi
Member
- Jun 28, 2016
- 75
- 37
Habari zenu wana JF.
Natafuta mtu mwenye mashine ya kutengeneza POPCORN inayotumia gesi iwe used au mpya ila isiwe mbovu na ya gharama nafuu.
pia natafuta mashine ya kutengeneza Ice crem iwe yenye umbo dogo na gharama nafuu ikiwa used pia sawa.
Tuwasiliane kupitia 0653273420/0682580560