Saa 48 nyingi sana wewe, kule sio sehemu nzuri hata kidogoHuyu dawa yake kuonesha hautishiki anakuweka hizo saa 48 usimjibu kitu unakauka tu
Halafu anatembelea VX V8 ?huyu jamaa kama angepewa uwaziri sijui ingekuwaje.
Hahahahahahaha........kakutana na kazi akitoka mtoni kuchota maji.Kazi za kuokota nazo bana!!
Kula kulala bure ila msoto wake hatariiii.....usikie kwa mwingine usiombe yakukuteHuyu dawa yake kuonesha hautishiki anakuweka hizo saa 48 usimjibu kitu unakauka tu
Yesu rudihuyu jamaa kama angepewa uwaziri sijui ingekuwaje.
Lexus tenaHalafu anatembelea VX V8 ?
UNAIJUA SEGEREA WEWE?inatakiwa wakati anamsemesha huyo dereva we unampigia honi non stop mpaka masikio yazibe .....
si nagoma kushuka kwenye gari hahahaUNAIJUA SEGEREA WEWE?