kiwanadani wanajua kauli yako hii korofi, au we huna hela za kuoperate gari aina ya honda.Kama.ni jamii ya Honda achana nayo izi gari sumbufu sana japo hiyo siijui kuna CRV
Sasa mkuu si ndio uainishe uzoefu wako ili ututoe hofu!!!kiwanadani wanajua kauli yako hii korofi, au we huna hela za kuoperate gari aina ya honda.
honda ni magari pekee yasioyo changia vimiminika na magari mengine ya toyota, itakupa kuweka vimiminika halisi genuine vya honda muda wote utakiwapo kufanya hivyo, na kwa sasa spea zote za honda hapa tz zipo kuna duka special la auto parts origino toka japan na US pale kariakoo, ni magari mazuri sana yenye starehe na murua safari ndefu. zingatia service tu basi