Mwenye link ya WhatsApp Plus version mpya anisaidie jamani

Mwenye link ya WhatsApp Plus version mpya anisaidie jamani

Hizi WhatsApp Mod zimeniumiza sana.
Nimepoteza mambo muhimu mno baada ya simu kupotea.

Nimeshindwa kurudisha files muhimu mno. Backup yake mpaka uwe na file
ambalo utahamisha kwenye simu nyingine.

Sinahamu kabisa. Kwa mnaotumia muwe na tahadhali sana
Unatunzaje files muhimu WhatsApp karne hii mkuu? Weka files Telegram huko telegram hata upoteze simu mara 2000 files zako ziko secure au tumia Online Cloud Storage kama Google Drive, PCloud, MEGA n.k kutunza files zako au picha...
 
Back
Top Bottom