Pole kwa kuchelewa kulijua hilo kwa shule za serikali tana bora huyo kasoma topic moja kuna shule hawamjui mwalimu.Chagamoto kubwa tunao kabiliana nayo katika shule za advance za serikali ni ufundishaji duni katika advanced level licha yakua waalimu wa sayansi wapo ila watoto hawafundishwi ipasavyo, kweli tangu mtoto wa form five afungua shule amesoma topic moja tu ya physics na yenyewe haijaisha, chemistry ameandika nusu kurasa tu, kweli "cheap things are expensive"
Kwahiyo inabidi ni jiongeze natafuta waalimu wazuŕi wa comb ya PCB maeneo ya Mwenge, Mbezi ya Kimara, Goba Tangi mbovu, Tegeta nk.
Mwenye kujua kituo au waalimu wasio kua wababaishaji au waalimu jaa tafadhari msaada ili tusichelewe.
Uko wapi mkuu niko soriasi na hitaji senta kabisa ajichanganye na wanafunzi wengine.Nafundisha Phy na Advanced Math....mlete nimnoe
Kama una pesa nilipe ntakuja kumfundishia hapo hapo kwako.Chagamoto kubwa tunao kabiliana nayo katika shule za advance za serikali ni ufundishaji duni katika advanced level licha yakua waalimu wa sayansi wapo ila watoto hawafundishwi ipasavyo, kweli tangu mtoto wa form five afungua shule amesoma topic moja tu ya physics na yenyewe haijaisha, chemistry ameandika nusu kurasa tu, kweli "cheap things are expensive"
Kwahiyo inabidi ni jiongeze natafuta waalimu wazuŕi wa comb ya PCB maeneo ya Mwenge, Mbezi ya Kimara, Goba Tangi mbovu, Tegeta nk.
Mwenye kujua kituo au waalimu wasio kua wababaishaji au waalimu jaa tafadhari msaada ili tusichelewe.
Sawa kunakuijua na kuifundisha huenda unaijua ila huna teaching methodology yake, na ujua tunasoma kufaulu mitihani sio kujua somaKama una pesa nilipe ntakuja kumfundishia hapo hapo kwako.
Ntamfundisha Physics tu. Sababu mimi ni mfizikia ,, yes kibongo bongo Physics naijua.
Kwani wewe ndio mwanafunzi???Sawa kunakuijua na kuifundisha huenda unaijua ila huna teaching methodology yake, na ujua tunasoma kufaulu mitihani sio kujua soma
kidato cha sita, shule za serikali zinafanya vzr kuliko za private, Fatilia shule zinazofanya vzr za serikali, jipange kama na mil 1 hiv, mhamishie mtoto huko.Chagamoto kubwa tunao kabiliana nayo katika shule za advance za serikali ni ufundishaji duni katika advanced level licha yakua waalimu wa sayansi wapo ila watoto hawafundishwi ipasavyo, kweli tangu mtoto wa form five afungua shule amesoma topic moja tu ya physics na yenyewe haijaisha, chemistry ameandika nusu kurasa tu, kweli "cheap things are expensive"
Kwahiyo inabidi ni jiongeze natafuta waalimu wazuŕi wa comb ya PCB maeneo ya Mwenge, Mbezi ya Kimara, Goba Tangi mbovu, Tegeta nk.
Mwenye kujua kituo au waalimu wasio kua wababaishaji au waalimu jaa tafadhari msaada ili tusichelewe.
Ushachelewa km ni PCB wanaowafanya wafaulu au wasifaulu ni hao hao walimu wao wa darasani hao hao ndio wanawafaulisha hata km hawakustahiri kufaulu na hao hao ndio wanaowafelisha hata km walistahiri kufaulu,tafadhari msaada ili tusichelewe
PCB kuna ududu mwingi sana hio combination walimu wake kuanzia BAM, Chemistry, Physics na Biology wapo km Miungu fulani hivi (wana laani na wana bariki sasa usiombe wakulaani) truth be toldnatafuta waalimu wazuŕi wa comb ya PCB
Sio kweli mtoto gani atasoma tuisheni kwa Pesa yake mfukoni mtoto anafanya kazi wapi? Wengine mnatoa lawama za kijinga usilaumu kitu km hujui au huelewiUnakilaza nyumbani kadiri elimu inavyoenda juu inahitaji nguvu ndogo kutoka Kwa mwalimu ,mengine ajitafutie zaidi yaani hata tuisheni unatafuta mzazi? Unalemaza mtoto
Ndio maana wenye akili wanapita zao Diploma hao Chuo tena Diploma akifanya vizuri anapata kazi chapu haya form six utapata wapi kazi km huna degree?Atakuwa mwanao mzembe !!
Advance Huwa hakuna kulazimishana. Ni chapu chapu anaelewa..,..... usipoelewa unaukizwa ukifauluje csee au uliingia na mondo,?
Au wanakuja kumjua Mwalimu wa somo pepa limekaribia wanapigwa topic kwa kulambishwa lambishwa haya tayari wiki moja kabla ya mtihani wa Mwisho ndio wanaingia Lab kukaririshwa test tube na dissection kit kumbe mda wote huo Mwalimu alikua zake anafundusha private na mshahara wa Serekali anakula, wanavyofundishwa advance sio kusoma uelewe ni kusoma ufaulu meza kariri hata km hauelewi wewe mtihani ukifika nenda kayamwage km ulivyoyakariri ili mradi tu ufaulu utaelewa mbele ya Safari ukifika Chuo huko, ukiwa huku advance unapimwa kiwango chako cha kukariri kipoje sio kiwango chako cha kuelewa kipoje tofauti na wanaoenda Chuo kusoma Diploma wanapimwa uwezo wao wa kuelewa sio uwezo wao wa kukaririkuna shule hawamjui mwalimu