Samahani wadau...Naomba kuuliza hii course ya material science and Engineering ina husiana na nini?
Vipi kuhusu market yake hapa Tanzania na sehemu gani zenye uhitaji wa wataalamu hao?
Is it worth studying for masters degree??
Asante sana.
Unataka uisome kwa lengo gani? Nakumbuka hio ni option kozi ya unit 2 kwa watu wa BSC(physics).Nilipokuwa mwaka wa 3 vijana wengi hawakuichagua hio kozi ili wasiwe na mzigo wa SUP.
But according to inf. Tz haina watu wa material science walioiva vizuri.
Material science ni kozi muhimu sana katika ulimwengu wa uumbaji wa vitu,viwandani hio kozi ni muhimu sana sana.Researchers nk
Material scientist anahusika na Tabia mbalimbaki za material kama ekecticl properties, conductivity,strengt, reactivity nk. Unasoma tbia za material zibazotumika kutengeneza vitu mbalimbali kama solar, vioo,mondo nk.Kama ni mwanafizikia na unafuture ya mtafiti ijaze but make sure unaweza kusoma unit nying, I guest unasoma physics hivyo jipime kama haitasababisha Ku SUP.
Nadhani kama unataka kuja Fanya Nazi TBS basi yafaa sana, hats civil engineering lazima wawe na material scientist.
I'm open to be corrected nimetumia common sense na taarifa zisizo rasmi sana,mie sio material scientist.