Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,704
- 2,363
Hahahaha... kumbe tupo wengi .... tuvute subira tutapata tuMkuu ukipata namba zake za simu unambie
Kamanda ni mtumishi wa Mungu huyo chonde chonde..!!habarini mtu yeyote mwenye kujua habari kuhusu huyu mtu naomba haziweke hapa..... maana nampenda sana huyu mdada,,,, nataka nimpe zawadi ya kiwanja changu cha MSATA ili ahamie TZ
Hata unaweza kutaja nyimbo zake hapa ili kaka yenu nikadownload
View attachment 529833 View attachment 529834 View attachment 529835 View attachment 529836 View attachment 529837
Hahahaha... atakuwa badoHajaolewa kweli huyo?
kila la heri mastaHahahaha... atakuwa bado
Nataka nimjengee nyumba pale msata awe shem yenu
Hahahaha... kumbe tupo wengi .... tuvute subira tutapata tu
One day yes
Sijui kama kaolewa au la ila ni mzuri kwa kwenye video mkuu mpaka ukutane nae ndio uta conclude kuwa ni 'chuma" ila kwa sasa naungana nawe kusema ni very sex hasa sauti
Wewewewe utapigwa na wanawake.... ngoja waje wakuoneMimi uzuri wa Mwanamke huwa nautafsiri katika ' Mbunye ' yake tu na siyo Sura kwani kama ni Sura tu hata Kenge anayo.
Ofkoz wanawake rangi ya choklate n wazuri hatariWanawake weusi ni wazuri sana .....sana tena sana...uzuri wao haudanganyi....
Acha utani huo mkuu!mimi nikinunua tu kiwanja cha kigamboni namtafuta Jackie Appiah
huyu mwanadada angejua niliyonayo moyoni angenitafuta mwenyewe.
Aise mkuu ule mgodi ni zaidi ya huu wa mheshimiwa Rais hapa tutaatengeneza mgogoro mkubwa kuliko huu wa serikali na acasia kabisaAcha utani huo mkuu!
Mimi ndo nampenda zaidi aisee mpaka ilibidi nimfollow huko insta ....
Mi akianza kulia tu kwenye zile movie zake hasa wakiwa na Jamaa moja anaitwa majid Michael aiseee!
JamiiForums ni zaidi ya BurudaniAcha utani huo mkuu!
Mimi ndo nampenda zaidi aisee mpaka ilibidi nimfollow huko insta ....
Mi akianza kulia tu kwenye zile movie zake hasa wakiwa na Jamaa moja anaitwa majid Michael aiseee!
Tuacheni roho mbaya.... huyu dada ajaolewaAmeolewa huyo; mbona huwa anampost sana mumewe huko Instagram!