Mwenye kujua habari kuhusu Mercy Masika

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,699
2,000
Habarini mtu yeyote mwenye kujua habari kuhusu huyu mtu naomba haziweke hapa..... maana nampenda sana huyu mdada, nataka nimpe zawadi ya kiwanja changu cha MSATA ili ahamie Tanzania

Hata unaweza kutaja nyimbo zake hapa ili kaka yenu nikadownload

vlcsnap-2017-06-20-11h01m10s638.png
vlcsnap-2017-06-20-11h02m12s768.png
vlcsnap-2017-06-20-11h02m42s948.png
vlcsnap-2017-06-20-11h04m16s583.png
vlcsnap-2017-06-20-11h05m37s794.png
 
dingimtoto

JF-Expert Member
Jan 9, 2016
8,953
2,000

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,533
2,000
Sijui kama kaolewa au la ila ni mzuri kwa kwenye video mkuu mpaka ukutane nae ndio uta conclude kuwa ni 'chuma" ila kwa sasa naungana nawe kusema ni very sex hasa sauti
 
LWENYI

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,759
2,000
mimi nikinunua tu kiwanja cha kigamboni namtafuta Jackie Appiah
huyu mwanadada angejua niliyonayo moyoni angenitafuta mwenyewe.
 
Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,080
2,000
mimi nikinunua tu kiwanja cha kigamboni namtafuta Jackie Appiah
huyu mwanadada angejua niliyonayo moyoni angenitafuta mwenyewe.
Acha utani huo mkuu!
Mimi ndo nampenda zaidi aisee mpaka ilibidi nimfollow huko insta ....
Mi akianza kulia tu kwenye zile movie zake hasa wakiwa na Jamaa moja anaitwa majid Michael aiseee!
 
LWENYI

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,759
2,000
Acha utani huo mkuu!
Mimi ndo nampenda zaidi aisee mpaka ilibidi nimfollow huko insta ....
Mi akianza kulia tu kwenye zile movie zake hasa wakiwa na Jamaa moja anaitwa majid Michael aiseee!
Aise mkuu ule mgodi ni zaidi ya huu wa mheshimiwa Rais hapa tutaatengeneza mgogoro mkubwa kuliko huu wa serikali na acasia kabisa
yule binti kajaaliwa mnoo Na yule mageed huwa naona wivu kila ninapowaona wapo kwenye movie pamoja jamaa anafaidi sana mema ya hapa Duniani
 
Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,699
2,000
Acha utani huo mkuu!
Mimi ndo nampenda zaidi aisee mpaka ilibidi nimfollow huko insta ....
Mi akianza kulia tu kwenye zile movie zake hasa wakiwa na Jamaa moja anaitwa majid Michael aiseee!
JamiiForums ni zaidi ya Burudani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom