sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Khaaaaaa wewe hili jiko laki mbili?????Hiyo kama ina electrical plates tu kama inavyoonekana haizidi laki 2 from the second hand labda kama ingekua na gas burners ndio ina soko kwa sasa.
Nusu bei ya jiko jipya mkuu si amesema anauziwa na mtu ampe mbili au tatu sio mbaya.Khaaaaaa wewe hili jiko laki mbili?????
Kko hizo bei bila efd receipt,ukipata ya bei hiyo size itakua 50x50 siyo 60x60Laki nne mpaka tano unapata mpya.. nenda kariakoo.. ila nzuri ni zile zenye gesi na umeme
Analinunua kwa mtu lakini ni jipya halijatumikaNusu bei ya jiko jipya mkuu si amesema anauziwa na mtu ampe mbili au tatu sio mbaya.
Oh kilo tatu sio mbaya.Analinunua kwa mtu lakini ni jipya halijatumika
Hahahahaha.... Ovener ni ovener mkuu.Ovener ni nini?
Nusu bei ya jiko jipya mkuu si amesema anauziwa na mtu ampe mbili au tatu sio mbaya.
Ovener isiyokuwa na plate za gas sio issue mkuu.
Hapo bei lazima iwe chini.
Piga ua usimpe zaidi ya 3.
Sikushauri otherways uwe mahali ambapo umeme sio wa kuwaza waza.Sasa hivi kanipigia sim anasema anataka nimpe laki 3 na 20 bei ya mwisho
Kama umeme kwako hausumbui,mpe 3 tu.Sasa hivi kanipigia sim anasema anataka nimpe laki 3 na 20 bei ya mwisho