goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,049
- 1,344
Ndio nini hichowahaya wakishauza ndizi na kahawa sasa....sikia sasa nunua Bugatti veron😳
toroliNdio nini hicho
Ahh kumbetoroli
kwahiyo mwanetu unataka zako kuchukua kaswift ka misele ya hapo na pale...🙂Ahh kumbe
Ndio boss nipe detail kama upo vzr upande huokwahiyo mwanetu unataka zako kuchukua kaswift ka misele ya hapo na pale...🙂
Mkuu we ni Mpare?Natamani kuinunua hii gari kwa mishe zangu za hapa na pale.
Unfortunately mimi si mjuzi kwa kina wa magari.
Ningependa kutambua uwezo wa ulaji mafuta, uimara wake, upatikanaji wa vipuli ikiwa ni gharama ya vipuli hivyo kama ni himilivu kwa mtanzania wa kipato cha kati hapa nyumbani tz na mambo mengine muhimu utakayoona yanafaa kunishauri
Ndio mkuu kwani vpMkuu we ni Mpare?
Ndio boss nipe detail kama upo vzr upande huo