Mwenye kuijua jina la hii movie

Naomba na mimi pia niunganishe hapa shida yangu.
Kuna Movie nimeisahau jina niliingalia mwaka 2011, inawahusisha wanajeshi ambao walikuwa ni ma pilots wakati wanaenda vitani( jinsi ninavyokumbuka) ndege yao ikadunguliwa wakaangukia baharini. Wanajeshi kadhaa wakapona,katikati ya bahari ambapo wakafanikiwa kupata kamtumbwi ambako walijihifadhi hapo wakiwa na matumaini ya kutokeza nchi kavu au kuona chochote kinachoweza kuwaokoa haikusaidia. Walizunguka kwa kama siku sita baharini huku wakikamata samaki wa bahari na kuwala. Hatimaye baada ya week kadhaa nwakiwa wamekonda sanaa walianza kufa na kuanza kulana nyama wenyewe mpaka alipobaki mmoja baada ya kama miezi kadhaa baharini, meli ya upande wa enemies ilimwona ikamchukua kama mateka na kumpeleka utumwani.
Anayeifahamu Anisaidie wakuu! Nakumbuka kwa mbali kama inaitwa Broken Soldiers lakini nimejaribu kuitafuta online kwa njia zote hata kwa kugoogle sijaipata.
Natanguliza Shukrani
 
Iyo apo enjoy
Tutaungana nae
202a5fd13149acc3fa23515e73f22066.jpg
 
Back
Top Bottom