mwenye kuhitaji technician wa ujenzi niko hapa.

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
723
Reaction score
1,091
habari humu, natafuta kazi kwa wakandarasi sehemu yoyote palipo na ujenzi wa miradi ya barabara na nyumba, elimu yangu ni diploma in building and civil engineering.
katika ujenzi wa barabara najua vifuatavyo
  1. kufanya tests zote za udongo.
  2. pavement design minor na major engineered gravel road
  3. measurement of works.
  4. kuandaa ripoti .
katika ujenzi wa nyumba najua vifuatavyo.
  • concretes tests
  • timber design
  • steel design
  • reinforcement cement concrete design
  • use of planning techniques
  • interpretation of drawings.
experience yangu ni mwaka mmoja.
IMG_20171024_090048.jpg
 
habari humu, natafuta kazi kwa wakandarasi sehemu yoyote palipo na ujenzi wa miradi ya barabara na nyumba, elimu yangu ni diploma in building and civil engineering.
katika ujenzi wa barabara najua vifuatavyo
  1. kufanya tests zote za udongo.
  2. pavement design minor na major engineered gravel road
  3. measurement of works.
  4. kuandaa ripoti .
katika ujenzi wa nyumba najua vifuatavyo.
  • concretes tests
  • timber design
  • steel design
  • reinforcement cement concrete design
  • use of planning techniques
  • interpretation of drawings.
experience yangu ni mwaka mmoja.View attachment 882825
Kiwanja changu kuna maji yanayotoka kutoka juu kuja kwenye kiwanja changu,
Nilitaka kujenga unanishaurije.?
 
Nyuma ya kiwanja kuna mwinuko ,kiwanja changu kipo kwa chini.

Ni maji ya mvua haya yakinyesha
kama unapesa ya kutosha jenga mitaro (stone mansory) jenga mikubwa kulingana na nguvu ya maji, angalia sehemu salama amabapo maji yataelekea kutoka kwako, ili yasizulu majilani
1. hatua ya kwanza chimba mitaro shape ya umbo la V, chini upana wa 1m, usoo wa juu 1.5m, kina 1.2m, kama maji ni mengi sana unaweza ongeza dimensions,
2. chini mwaga base ya zege ratio ya 1:2:4, yaani mfuko mmja wa cement kwa ndoo 6 za mchanga, 12 kokoto
3. kuta za mawe jenga kwa kutumia mortal 1:3, mfuko mmja wa simenti kwa ndoo 12 za mchangaa.
 
Ok,Je mtu akitaka uende ukaione sote ili umshauri jinsi ya kujenga na gharama za ujenzi wake,

Inawezekana?

Je kuna malipo yoyote?
 
habari humu, natafuta kazi kwa wakandarasi sehemu yoyote palipo na ujenzi wa miradi ya barabara na nyumba, elimu yangu ni diploma in building and civil engineering.
katika ujenzi wa barabara najua vifuatavyo
  1. kufanya tests zote za udongo.
  2. pavement design minor na major engineered gravel road
  3. measurement of works.
  4. kuandaa ripoti .
katika ujenzi wa nyumba najua vifuatavyo.
  • concretes tests
  • timber design
  • steel design
  • reinforcement cement concrete design
  • use of planning techniques
  • interpretation of drawings.
experience yangu ni mwaka mmoja.View attachment 882825
Site Kunduchi we upo wapi?
 
Back
Top Bottom