Mwenye kuhitaji Pharmacy

Mnona mimi nimekutumia PM tangu jana lkn wala hujajibu?
 
Nitumie number yako basi kwa Pm ili tufanye biashara?
 
Ni pharmacy au duka la dawa muhimu? Kama pharmacy cheti ni chako mwenyewe?
 
Ni pharmacy au duka la dawa muhimu? Kama pharmacy cheti ni chako mwenye

Nilisema Pharmacy na si duka la dawa mhimu, nafahamu tofauti, ya hivyo vitu viwili, cheti ni cha mke wangu, so ww kama unania tuwasiliane kufahamu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…