Mwenye kuelewa hili

Mwenye kuelewa hili

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,766
Reaction score
14,775
Nimekaribishwa nyumba ya mdada mmoja Mkenya kwake hapa Nairobi.

Yeye ni single na mrundikano wa vitu ndani ya chumba kimoja ni vingi.

Sasa nataka kuchaji simu nakuta anachaji ni sichokijua kwa kufikiri ni kaona nipate wataalamu maswala ya mic

FB_IMG_1678174068512.jpg
 
Habari za apo kenya mkuu lakini hii picha ni DOWNLOADED kabisa na inaonyesha kwanini unataka kutudanganya, au unataka kujua matumizi yake uagize
 
Nimekaribishwa nyumba ya mdada mmoja mkenya kwake hapa nairob.
Yeye ni single na mrundikano wa vitu ndani ya chumba kimoja ni vingi.
Sasa nataka kuchaji simu nakuta anachaji ni sichokijua kwa kufikiri ni kaona nipate wataalamu maswala ya mic View attachment 2540252
Kidude cha kum-vibrate ukeni au kuna mwanamke mwingine anamfanyia hivo, kinatumia umeme kumtekenya apate marahaa ya dunia...
 
Nimekaribishwa nyumba ya mdada mmoja mkenya kwake hapa nairob.
Yeye ni single na mrundikano wa vitu ndani ya chumba kimoja ni vingi.
Sasa nataka kuchaji simu nakuta anachaji ni sichokijua kwa kufikiri ni kaona nipate wataalamu maswala ya mic View attachment 2540252
Mkuu unakaribishwa nyumbani kwa mtu unaanza piga picha na kusambaza mali zake mtandaoni. We noma sana
 
Nimekaribishwa nyumba ya mdada mmoja mkenya kwake hapa nairob.
Yeye ni single na mrundikano wa vitu ndani ya chumba kimoja ni vingi.
Sasa nataka kuchaji simu nakuta anachaji ni sichokijua kwa kufikiri ni kaona nipate wataalamu maswala ya mic View attachment 2540252
Kaka yake shetani, hebu muulize shetani hapo, yeye analo jibu. Maana ndo mambo yake hayo🤣🤣
 
Kutakuwa na upungufu wa wanaume huko; na haya mambo ya upinde ndio yanawamaliza zaidi me; mwisho wa siku inabidi watumie midoli tu; wanaume wa kazi hakuna.
 
Back
Top Bottom