crug Member Joined Mar 21, 2015 Posts 10 Reaction score 4 May 1, 2015 #1 Jamani natafuta kioo cha iphone 4, kiwe kipya au used ningependa uweke na bei yako kabsaa, au hata mwenye kua nayo yenye apple id lakini kioo kiwe kizima . Natanguliza shukrani
Jamani natafuta kioo cha iphone 4, kiwe kipya au used ningependa uweke na bei yako kabsaa, au hata mwenye kua nayo yenye apple id lakini kioo kiwe kizima . Natanguliza shukrani
J Jupita Member Joined Sep 29, 2013 Posts 18 Reaction score 7 May 1, 2015 #2 Nenda Sapna au duka la Jirani na Sapna maeneo ya posta! niliwahi kuuliza bei nikaambiwa 65,000/=
J Jupita Member Joined Sep 29, 2013 Posts 18 Reaction score 7 May 1, 2015 #3 Ila siku nyingi zimepita inafika mwaka sasa huenda bei ikawa tofauti!
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,726 Reaction score 6,608 May 3, 2015 #4 Jupita said: Nenda Sapna au duka la Jirani na Sapna maeneo ya posta! niliwahi kuuliza bei nikaambiwa 65,000/= Click to expand... kariakoo aggrey kwa Erick unapata only 25,000 kwa hicho kioo
Jupita said: Nenda Sapna au duka la Jirani na Sapna maeneo ya posta! niliwahi kuuliza bei nikaambiwa 65,000/= Click to expand... kariakoo aggrey kwa Erick unapata only 25,000 kwa hicho kioo