Mwenye kioo cha iphone 4

Mwenye kioo cha iphone 4

crug

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
10
Reaction score
4
Jamani natafuta kioo cha iphone 4, kiwe kipya au used ningependa uweke na bei yako kabsaa, au hata mwenye kua nayo yenye apple id lakini kioo kiwe kizima .

Natanguliza shukrani
 
Nenda Sapna au duka la Jirani na Sapna maeneo ya posta! niliwahi kuuliza bei nikaambiwa 65,000/=
 
Ila siku nyingi zimepita inafika mwaka sasa huenda bei ikawa tofauti!
 
Back
Top Bottom