evan rwiza Member Joined Nov 9, 2015 Posts 39 Reaction score 27 Nov 21, 2020 #1 Naomba mtu mwenye kampuni ya ku supply office stationaries kwenye ma taasisi kwa mfumo wa tendering, nahitaji kupata ufahamu wa wapi anachukua kwa gharama nafuu (kwa hapa hapa Tanzania) na profit margin yake inakuaje kuaje, naomba kuwasilisha.
Naomba mtu mwenye kampuni ya ku supply office stationaries kwenye ma taasisi kwa mfumo wa tendering, nahitaji kupata ufahamu wa wapi anachukua kwa gharama nafuu (kwa hapa hapa Tanzania) na profit margin yake inakuaje kuaje, naomba kuwasilisha.
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 12,112 Reaction score 22,497 Nov 21, 2020 #2 Ngoja nasubiri wajuzi waje