habarini wadau, husikeni na kichwa cha habari hapo juu...nina hitaji la simu ya iphone 6 kwa mwenye nayo. Iwe katika hali nzuri na accessories zote ziwepo. Bajet yangu inaanzia laki nane ila itaongezeka kutokana na ubora wa simu. Asanteni namba yangu ni 0713 806 766. Nipo dar es es salaam.