Mwenye huu wimbo wa ccm nauomba pls

Mwenye huu wimbo wa ccm nauomba pls

kuna huu wimbo nauombeni hata link niudownload baadhi ya mistar ni;_
Wa bara na visiwan goma lipo uwanjani,
kinyanganyiro oct siku ya nani na nani,
mpiga kura garagaza kwenye rangi ya kijani
mwenye nao nauombeni hata kwa linkl
Kuna una huu utupie.

'Wapee wapee eeeee
Vidonge vyaoooo
Wakimeza wakitema shaui yaoooo......."
 
Back
Top Bottom