N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Oct 15, 2013 #1 Mwaka kesho Nina tenda ya kubeba wanafunzi Wa nursery IPO ubungo emaus mwenye gari la Noah anipatie niingie nae mkataba kwa mwezi namlipa yeye pesa nzuri Tu 0714064767
Mwaka kesho Nina tenda ya kubeba wanafunzi Wa nursery IPO ubungo emaus mwenye gari la Noah anipatie niingie nae mkataba kwa mwezi namlipa yeye pesa nzuri Tu 0714064767
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 15, 2013 #2 Siku ngapi kwa wiki na gari itafanya kazi kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi? Kama ruti unazijua tafadhali tueleze tukupe gari uanze biashara.
Siku ngapi kwa wiki na gari itafanya kazi kuanzia saa ngapi mpaka saa ngapi? Kama ruti unazijua tafadhali tueleze tukupe gari uanze biashara.