kuna watu wanaleta mzaha umu kiasi cha kuogopesha wenye nia thabiti ya kunipa,nimeondosha hofu kwao kwamba niko tayari kuwa na mmiliki kipindi nafanya program zangu ili aone nafanya nini
kuna watu wanaleta mzaha umu kiasi cha kuogopesha wenye nia thabiti ya kunipa,nimeondosha hofu kwao kwamba niko tayari kuwa na mmiliki kipindi nafanya program zangu ili aone nafanya nini
Kaka mbona ni mtu wa hovyo sana,kwanini?Comments zako nyingi ni za kipumbavu,kila ninapokusoma huwa unanikera sana halafu eti nawewe ni think tank wa lumumba,daah
Weakend akuna ofisi inafanya kazi unataka kutekea watu? Kwanin? Utafte magari yenye speed!!! Acha mambo yenu ayo kutekana tekana sio vizuri km vp kanunue show room.