Mwenye gari hasindikizwi

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Aisee watu wana maneno!

Nilikutana na hayo maneno leo! Nlicheka sana!

Zamu yaKO SASA kutupia misemo mingine ya kiswahili inayochekesha!

Let's go!
 
Lete heshma zote lakn huwezi kumpokea askar bunduki mashne gun


enjoy++
 
JOGOO HAFI KWA UTITIRI

Dcm ya mbezi-kariakoo
 
Cha mtu huliwa na mtu kasoro chuma huliwa na kutu!


Ha ha haa haa Kumbaf sana umenichekesha sana bila ridhaa yangu wakati Mama yangu anaumwa yuko hospital, senge sana.

Kwa hiyo tutafuniane siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…