Mwenye experience ya ku-date na Bar Maid, ushauri tafadhali

Mwenye experience ya ku-date na Bar Maid, ushauri tafadhali

Alafu mabar med wengi wao ni wazuri sana to be honest, unakuta mtoto kanyooka ana rangi alafu kimini usiseme, yaani wanaume tuna wakati mgumu sana kwenye hii dunia

Zamani kabla sijaoa nilikua napita nao sana ila kwasasa nawapotezea tu hawana jipya lolote zaidi ya kuchunwa na kukuweka roho juu tu
 
Usiwe na wivu manake barmaid kutomaswa chuchu,makalio sometimes mpaka kuingizwa vidole sehemu za siri na walevi kawaida.

Ila kama unajijua una wivu na unampenda mfungulie biashara yake mwenyewe binafsi.
 
Hao maids, wengine ni tiaieses hasa kwa zile bar kubwa zenye majina!
 
Mm nilishawahi kuwa na mahusiano na bar maid mmoja hivi aiseee alikuwa mzuri sana halafu chuchu saa Sita + alikuwa na shepu. Yeye alimaliza hivi vyuo vya hotel management alikuwa poa sana. Sema kuvumilia mpaka saa nane usiku urudi nae getho utaweza?! Alikuja nielewa sana mpaka alitaka kunipeleka kwao bukoba nikajitambulishe😁😁
 
dah....nimeshangaa sana kwaajili tu ya utelezi umekuja kutuletea….uzi...cha kukushauli piga nyeto mara tatu..wazo la kuendelea kumfukuzia likiwepo endelea kumfukuzia.
😃😃😃 ukiwa na wazo la kumtaka mwanamke. .kiboko yake ni kupiga chaputa tu baada ya hapo unamuona kama mwanaume mwenzio 😃😃
 
Jiandae "kuchomeshwa mahindi" pia...baa nyingi zinafungwa saa 5 au 6 hivi!

Na usiwe na wivu wa kijinga pia....hao mara nyingi huwa ni wa kila mwanaume......utavumilia siku ukiona SMU anamtomasa?
 
Back
Top Bottom