Huitaji mtu wa IT. Bali unahitaji mtu wa computer science. IT kazi yake ni Ku design. Na kutoa muongozo Wa jinsi hiyo program itakavyowork. Kisha anampa programmer.
Huitaji mtu wa IT. Bali unahitaji mtu wa computer science. IT kazi yake ni Ku design. Na kutoa muongozo Wa jinsi hiyo program itakavyowork. Kisha anampa programmer.
Jamaa kasema vizuri hapo juu, kwan nahitaji mtu wa Computer Science ambae anaweza Kufungua website mpya na pia anaeweza kudevelop au kutengeneza Android Application.
Kama una 1m ndio nakushauri tafuta programmer. Sababu mtu ambaye yupo vizuri kwenye kazi yake atahitaji hela hio.
Kama huna budget hio Ni bora tumia WordPress na plugin zake utapata website na app ya android bila kucode just drag and drop tu
Habari wakuu,
Nina wazo la biashara ambapo nahitaji mtu wa IT wa kushirikiana nae kama mdau mwenza, mwenye kuweza ku "devolop programs na kutengeneza Android application"
Kwa yeyote ambayo yupo tayar ani PM tuone ni namna gani tunaweza kushikana mkono na kufanya mambo makubwa. Aksante!
Mimi sina utaalam na mambo hyo. Ndo maana nkahtaji mtu wa kushirikiana nae kama ningekuwa naweza ningefanya mwenyewe mkuu
Habari wakuu,
Nina wazo la biashara ambapo nahitaji mtu wa IT wa kushirikiana nae kama mdau mwenza, mwenye kuweza ku "devolop programs na kutengeneza Android application"
Kwa yeyote ambayo yupo tayar ani PM tuone ni namna gani tunaweza kushikana mkono na kufanya mambo makubwa. Aksante!
Mkuu we kama wewe unaweza nn? Sio tu unataka programmer afu hujui hata alogarithm
Yaani kwa kukurahishishia nikwambie tu kua unapoteza muda wako, kama mtu ninayetengeneza software nakwambia hakika mtu yeyote Yule ambaye Yuko fit kwenye software development hawezi kuja kwako ati una idea tu na hauleti kitu kingine chochote mezani, unakua mtu wa kutoa direction tu ya idea zako, what makes u think developer mwenyewe hajafikiria the same thing? Unless unampa hiyo idea alafu akiikubali kama its something new basi anakulipa buku ten unasepa, Ill be honest with u kama unataka kuimplement something u r better off kwenda kujifunza mwenyewe ukatengeneza au ukatafuta mkwanja mrefu umlipe mtu akutengenezee ila kusema wewe ndo idea guy unajidanganya utapata wajinga tu wasio jua vizuri Mambo yanavokwenda, inshort hutopata real developer...
TlDR hakuna kitu ka the idea guy, kila unachofikiria kishafikiriwa ukiona hakijafanywa jua kina complexity yake tu ila kitafanywa tu
Mkuu kujua algorithms doesn't make one a programmer, mtu anaweza kujua binary search divide n conquer na akaweza kujua kabisa kua iko fast coz inagawa data mara mbili kila wakati na akajua kabisa runtime ni O(log(n)) kwa set ya n sorted values lakini asijue programming, its simply mathematics mtu yeyote mzuri kwenye namba Hilo swala halimsumbui kufikiria, labda ungeongelea datastructures... Na mtu anaweza pia akawa programmer na asijue algorithms complex akawa anafanya bruteforcing kwenye kila kitu au anatumia ready made tools, ni programmer sema not the best one but still s/he can program