iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
Mwenye diploma ya marketing ataweza soma course za afya Kwa level ya bachelor
Hakuna.Mwenye diploma ya marketing ataweza soma course za afya Kwa level ya bachelor
Physics ana C chemistry ana C biology ana DMatokeo Yake Ya Form Four Yale Masomo Muhimu Vp Amefauru
SawaHakuna.
Anaweza kusoma cheti au akibahatika Ni DiplomaPhysics ana C chemistry ana C biology ana D
Ana diploma ya marketingAnaweza kusoma cheti au akibahatika Ni Diploma
Mwenye diploma ya marketing ataweza soma course za afya Kwa level ya bachelor
Hapana hawezi.Mwenye diploma ya marketing ataweza soma course za afya Kwa level ya bachelor
Kwanini umpeleke kozi za kishamba ndugu yangu, aendelee na hiyo hiyo, au akasome BBA, utanishukuru baadaye. Achana na kozi za wito, sasa sijui huko ataiba wagonjwa. kumbuka hii nchi bila kuwa mazingira ya kukata kamba huchomoki.Mwenye diploma ya marketing ataweza soma course za afya Kwa level ya bachelor